Seventh-Day Adventist Church

NTOKELA SDA CHURCH Kanisa linalojali watu

Menu
Add a Slideshow to see your custom images here



Mpendwa mgeni uliyetembelea tovuti hii, karibu sana ujionee na kujipatia maarifa yatakayokuimarisha kiroho, kiakili, kimwili, na kijamii. Tovuti hii itakukutanisha na Rafiki yako kipenzi Yesu Kristo aliyetoa maisha yake kwa ajili yako. Yeye anakupenda na sasa yupo mbinguni akikuandalia makao na hivi karibuni atakuja tena ili akukaribishe kwake. Tovuti hii inayoendeshwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato la Ntokela Mtaa wa Swebo, iliyopo wilayani Rungwe na mkoani Mbeya, itakusaidia kujua namna bora ya kujiandaa Urudi Nyumbani. Karibu sana na Mungu akubariki!